
SAUTI YAKO NDIO MANIFESTO YANGU
TUNAANZA NA SAUTI YAKO
Wanasiasa wengi hutoa ahadi kutokana na kile wanachoona kinawafaa wananchi bila kuwauliza wananchi wenyewe. Hii inaleta pengo kati ya viongozi na wananchi. Ninaamini mabadiliko ya kweli ya kudumu huanza kwa kusikiliza kwanza. Ndio maana maono yangu ni tofauti.
WAJENZI NI SISI
Huu ni muongozo tu wa manifesto yangu na wala sio kamili. Kazi hii tutaiunda pamoja. Maono yangu nitayajenga kulingana na wanachi wanavyotaka. Mimi naahidi kadamnasi kwamba katika utendakazi wangu, sitawahi kulazimisha miradi ambayo wananchi hawaitaki. Kinyume na hilo naahidi kutekeleza kile ambacho wananchi watahitaji kifanyike. Manifesto tutaijenga kwa pamoja.
MUUNDO WA C.A.C.H.E KATIKA MAENDELEO
Fikra zangu zinajikita katika maandishi ya C.A.C.H.E.. Haya ni maandishi ya Kiingereza na hutumika katika techjnolojia. Maana ya C.A.C.H.E. katika taaluma ya komputa ni mahali ambapo mitambo huweka maneno ya kukumbukwa kiurahisi. Kwa Tana River, C.A.C.H.E. inamaanisha: Cohesion (uwiano), Agriculture (Kilimo), Culture (Utamaduni), Health( Afya) & Education (Elimu).
Sauti Yako. Chaguo Lako. Ndio Ahadi Yetu. Tushirikiane pamoja kutengeneza manifesto bora yakutufanya tuishi kwa amani upendo na maridhiano.
AHADI YETU NI KAMA YA BWANA: HAIVUNJIKI MILELE
Ahadi ya Hassan Morowa ni ahadi ya kweli. Hassan analichukulia jambo hili kama agano lililojengwa kwa kusikiza sauti za wanatana wenyewe. Kila barabara itakayojengwa, kila zahanati itakayoboreshwa, kila darasa litakalomalizwa kujengwa litaegemea taswira tuliyoijenga pamoja. Na hiyo ndiyo Ahadi yetu.
-
Usalama
-
Kugawa ardhi kwa usawa kulingana na matumizi
-
Uwiano
-
Kumaliza migogoro
-
Unyunyizaji wa kisasa
-
Ufugaji wa kisasa
-
Kufuga nyuki
-
Fisheries
-
Ushirika
-
Viwanda
-
Turathi za jamii
-
Jua Kali
-
Sanaa
-
Usafiri
-
Maonyesho
-
Internet za bure zones
S.
I
M
P
l
i
c
i
t
y
I.
k
h
l
a
s
T.
R
u
t
h
A.
l
l
i
a
n
c
e
s
Kwa lolote lile tutakalolifanya kuanzia wakati wa Campaign mpaka kupata kiti mpaka kutekeleza ahadi zetu yoote hayo yatategema mambo manne S.I.T.A. Maelezo ni kama ifwatavyo: Simplicity( Urahisi) Integrity (Ikhlas). Truth (Ukweli). Alliances (Ushirikiano). Siasa za Hassan Morowa ni za ukweli na wala sio za udangayifu.





