top of page
DONATE

AFYA: Afya bora ndio maendeleo bora

Kulingana na maoni ya wengi, tunaweza kusema kiurahisi kwamba lau ingekuwa mgonjwa, basi sekta ya afya katika kaunti ya Tana river iko ICU. Hospitali zetu zimekosa dawa zinazohitajika na vituo vya afya viko katika hali mbaya. Ni kawaida kwa wagonjwa kuonekana katika hospitali ya kaunti na kuelekezwa wakanunue dawa kwengine.

 

Tutafanyia kazi Nguzo 4 katika sekta ya afya ambazo tunaziita 4U za afya yaani
Uwezo wa kumudu: Huduma za afya ni ghali sana kwa sasa. Ni lazima huduma ziwe kwa bei nafuu.
Ufikivu : Huduma za afya hazipatikani kiurahisi. Tutatumia mbinu kuhakikisha kwamba huduma, zinamfikia mwananchi. Tutakuwa na ambalesi za kutosha na kliniki zinazohamishika
Upatikanaji : Tuna upungufu wa vifaa, ujuzi, rasilimali na dawa. Hili tutalisuluhisha
Uendelezi: Pindi tu hizo 3U zilizo hapo juu zinapokamilika tunahitaji kuhakikisha uendelevu wa kudumu.

Serikali ya Hassan Morowa itahakikisha mianya yote iliyopo katika sekta ya afya inazibwa. Pia tutahakikisha wasiojiweza watalipiwa SHA ili wafaifike na huduma hii.

Hassan Morowa inspecting healthcare facilities in Tana River County.

Ambulance Services have remained a challenge to date. It has been normal for a patient calling for Ambulances from other Counties to save a medical emergency. This should not be allowed to continue. Hassan Morowa's government shall ensure there are atleast two working Ambulances in each of the sub-counties taking into consideration the expansive nature of our county. These shall be under a command centre with driver and emergency medical tecnicians in each ambulance on standby.

Emergency ambulance services planned for every sub-county in Tana River.
bottom of page